Snowflake ni pluggable transport unaopatikana katika Tor Browser katika kugundua udhibiti wa mtandao.
Kama Tor bridge, mtumiaji anaweza kupata mtandao uliachiwa wakati hata kama muunganisho wa kawaida wa Tor umedhibitiwa.
Kutumia Snowflake ni rahisi kama kubadili usanidi wa bridge mpya katika Tor Browser.
Mfumo huu unajumuisha vipengele vitatu: Watu wanaojitolea kuendesha proxies za Snowflake, Watumiaji wa Tor wanaotaka kuunganishwa kwenye mtandao, na wakala, ambaye hutoa proxies Snowflake kwa watumiaji.
Watu wanaojitolea wapo tayari kuwasaidi watumiaji katika udhibiti wa mtandao wanaweza kuwasaidia kwa kusokota short-lived proxies katika browser zao za kawaida, Angalia, how can I use Snowflake?
Snowflake hutumia mbinu yenye ufanisi mkubwa domain fronting kufanya muunganisho kwa mojawapo ya maelfu ya proxies za snowflake zinazoendeshwa na watu wanaojitolea.
Proxies hizi ni nyepesi, za muda mfupi, na rahisi kuzitumia, zinazoturuhusu kupima Snowflake kwa urahisi zaidi kuliko mbinu za kizamani.
Kwa watumiaji waliodhibitiwa, Kama Snowflake yako imezuiwa, mzuiaji atatafuta proxy mpya kwa ajili yako, kiotomatiki.
Kama unavutiwa na maelezo za kiufundi na kujua sifa zake, angalia Snowflake Technical Overview and the project page.
Kwa mazungumzo mengine kuhusu Snowflake, tafadhari tembelea Tor Forum na fuatilia Snowflake tag.