Makini: Maagizo haya yanalenga kusakinisha tor
daemoni ya mtandao k.m. little-t-tor.
For instructions on installing Tor Browser, refer to Tor Browser user manual.
ufikiwaji wa msimamizi Kusanikisha Tor unahitaji njia ya upendeleo.
Fuata maelezo yote yanayohitajika katika kuendesha njia za watumiaji kama apt na dpkg yakitanguliwa na alama '#', huku maelezo yaendeshwe kama mtumiaji na '$' inayofafana kazi kwa haraka katika kuingiza data.
Kufungua njia ya kuingiza data una machaguo kadhaa, sudo su, au sudo -i, au su -i. Kumbuka sudo huomba neno siri la mtumiaji, wakati su hutarajia neno siri la njia za mfumo wako.
Debian/Ubuntu
Usitumie kifurushi katika Ubuntu universe.
Kipindi cha nyuma hazikusasishwa kwa uhakika, Ikiwa inamaanisha itakuwa imekosa utatuzi wa maboresho ya usalama.
- Configure Tor package repository
Wezesha hazina ya APT ya mradi wa Tor kwa kufuata maelezo.
# apt install tor
Fedora
- Configure Tor Package repository
Wezesha hazina ya kifurushi cha RPM cha mradi wa Tor kwa kufuata maelezo.
# dnf install tor
FreeBSD
# pkg install tor
OpenBSD
# pkg_add tor
macOS
- Install a package manager
Kuna visimamizi viwili vya vifurushi katika OS X: Homebrew na Macports.
Unaweza kutumia usimamizi wa kifurushi kama chaguo lako.
Kusanikisha Homebrew fuata maelekezo brew.sh.
Kusanikisha Macports fuata maelekezo macports.org/install.php.
Ikiwa unatumia Homebrew katika programu iliboreshwa, tumia:
# brew install tor
Ikiwa unatumia Macports katika programu iliyoboreshwa, tumia:
$ sudo port install tor
Arch Linux
- To install the
tor
package on Arch Linux, run:
# pacman -Syu tor
DragonFlyBSD
Picha na matoleo ya kila siku ya DragonFlyBSD (kuanzia na 3.4) huja na pkg
tayari imesakinishwa. Maboresho kutoka kwa matoleo ya awali hata hivyo hayatakuwa nayo. Ikiwa pkg
haipo kwenye mfumo kwa sababu yoyote ile inaweza kufungwa kwa haraka bila kuijenga kutoka kwa chanzo au hata kusakinisha DPorts:
# cd /usr
# make pkg-bootstrap
# rehash
# pkg-static install -y pkg
# rehash
- Recommended steps to setup
pkg
Hapa, itakuwa sawa na ile tuliyo nayo kwenye mfumo wa FreeBSD, na tutatumia HTTPS kuleta vifurushi vyetu, na masasisho - kwa hivyo hapa tunahitaji kifurushi cha ziada ili kutusaidia (ca_root_nss
).
Kusakinisha kifurushi cha ca_root_nss
:
# pkg install ca_root_nss
Kwa usakinishaji mpya faili ya /usr/local/etc/pkg/repos/df-latest.conf.sample
inakiliwa hadi /usr/local/etc/pkg/repos/df-latest
. Faili zinazoishia kwa kiendelezi cha ".sample" zimepuuzwa; pkg(8) husoma faili zinazoishia kwa ".conf" pekee na itasoma kadiri itakavyopata.
DragonflyBSD ina hazina ya vifurushi 2:
- Avalon (mirror-master.dragonflybsd.org);
- Wolfpond (pkg.wolfpond.org).
Tunaweza kwa urahisi kuhariri URLinayotumiwa kuashiria hazina kwenye /usr/local/etc/pkg/repos/df-latest
na ndivyo hivyo! Kumbuka kutumia pkg+https:// kwa Avalon.
Baada ya kutekeleza mabadiliko haya yote, tunasasisha orodha ya vifurushi tena na kujaribu kuangalia ikiwa tayari kuna sasisho jipya la kutumia:
# pkg update -f
# pkg upgrade -y -f
Sakinisha kifurushi cha tor
:
# pkg install tor
NetBSD
Matoleo ya kisasa ya mfumo wa uendeshaji wa NetBSD yanaweza kuwekwa ili kutumia pkgin
ambayo ni kipande cha programu inayolenga kuwa kama apt
au yum
kwa ajili ya kudhibiti vifurushi vya binary ya pkgsrc. Hatugeuzi usanidi wake hapa na uchague kutumia pkg_add
wazi badala yake.
# echo "PKG_PATH=http://cdn.netbsd.org/pub/pkgsrc/packages/NetBSD/$(uname -m)/$(uname -r)/All" > /etc/pkg_install.conf
Sakinisha kifurushi cha tor
NetBSD:
# pkg_add tor
VoidLinux
Kusakinisha kifurushi cha tor
kwa Void Linux, tafadhali endesha:
# xbps-install -S tor
Sanikisha Tor kutoka kwenye chanzo
- Download latest release and dependencies
Toleo jipya lililotolewa na Tor linapatikana katika kurasa ya download.
Ikiwa unaunda kutoka katika vyanzo, Sanikisha kwanza libevent, na hakikisha una openssl na zlib (ikijumuisha kifurushi cha the -devel kikitumika).
Sasa unaweza kutumia tor kama src/app/tor (0.4.3.x na toleo linalofuata), au unaweza kutumia Sanikisha
(kama njia ikiwa ina umuhimu) sanikisha ndani ya /usr/local/, na baada ya hapo anzisha matumizi ya tor.