Inakatisha tamaa kuongeza matangazo kwenye Tor Browser, kwa sababu inaweza kuondoa faragha na ulinzi wako.
Kuongeza matangazo yanaweza kuathiri Tor Browser kwa njia zisizowezekana na inaweza kufanya kumbukumbu zako za Tor Browser ziwe za kipekee.
Kama nakala yako ya Tor Browser ina kumbukumbu za uperuzi za kipekee, shughuli zako za uperuzi unaweza kudukuliwa japokuwa unatumia Tor Browser.
Kila mpangilio wa kivinjari na vipengele hutengeneza kitu kinachoitwa "alama ya kidole ya kivinjari".
Browser nyingi bila kukusudia hutengeneza kumbukumbu za kipekee kwa kila mtumiaji ambazo zinaweza kudukuliwa kwenye mtandao.
Tor Browser imejikita kuwa na kumbukumbu karibu sawa na watumiaji.
Hii humaanisha kwamba kila mtumiaji wa Kivinjari cha Tor huonekana kama mtumiaji mwingine wa kivinjari cha Tor hufanya iwe ngumu kumdukua mtumiaji yeyote.
Pia kuna nafasi nzuri ya tangazo jipya inaweza kuongeza ushambuliaji wa Tor Browser.
Hii inaweza kuruhusu taarifa muhimu kujuva au kuruhusu mshambuliaji kuathiri Tor Browser.
Matangazo yenyewe yanaweza kuwa ni hatarishi yametengenezwa kukupeleleza.
Tor Browser inakuja na tangazo moja-NoScript- na kuongeza kitu kingine chochote kinaweza kuondoa kutojulikana kwako.
Unataka kujifunza zaidi kuhusu kumbukumbu za kuperuzi? Hii hapa ni makala katika blog ya Tor kuhusu hilo.